Penda Jirani lyrics by The Nine C - original song full text. Official Penda Jirani lyrics, 2020 version | LyricsMode.com
Request & respond explanations
  • Don't understand the meaning of the song?
  • Highlight lyrics and request an explanation.
  • Click on highlighted lyrics to explain.
The Nine C – Penda Jirani lyrics
Acha fitina
Acha kuteta jirani yako ndugu yangu
Kwa sababu shida iki kupata
Yeye ndiye ataku sahidiya wa kwanza
Oooh ooh

Mungu anasema
Penda jirani
Penda jirani

Acha chuki acha uongo
Ina leta matenganyo kati jirani
Tafuta masikilizano
Oooh ooh

Mungu anasema
Penda jirani
Penda jirani

Mwenye anapenda ndugu yake
Ana ishi katika mwangaza
Ooh oh
Uta sema jee una penda Mungu
Kama una chuki kwa jirani
Oooh ooh

Mungu anasema
Penda jirani
Penda jirani

Wewe ambae ume pata neema
Yaku sikiya mwimbo iyi badirika
Ukisha mpenda
Ata kama yeye aku pendi
Uta barikiwa na Mungu

Penda jirani jinsi unaji penda
Timiza neno la Bwana mina kuomba
Usi chunge wakusifu kwa unacho tenda
Penda kwa ukweli popote unapo enda
×Lyrics taken from /lyrics/t/the_nine_c/penda_jirani.html

  • Email
  • Correct

Penda Jirani meanings

Write about your feelings and thoughts about Penda Jirani

Know what this song is about? Does it mean anything special hidden between the lines to you? Share your meaning with community, make it interesting and valuable. Make sure you've read our simple tips.
U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

Post meanings

U
Min 50 words
Not bad
Good
Awesome!

official video

0-9 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z