Add Explanation
Add Meaning
$album_name
$date_release
$writer_name
New! Read & write lyrics explanations
 • Highlight lyrics and explain them to earn Karma points.
Wudz – Shawty lyrics

Najua ushanimezea
But ni kitu nishazoea
So kabla ubonge juu ya ndoa
Eti unataka kunioa
Tulia kiasi
Jipe nafasi
Cuz mi ni ule boy rui
Kuchezea mabinti kama toy
Kina Monica, Wangeci na Joy
Si shore akijipa manze enjoy
Sijasema mi ni player but siko ready for love
Ganji on daily basis
Kupiga show for my fans
Is my fancy plus
Si unaelewa hii lifestyle venye iko na kiburi
Waliojiachilia mapema saa hii wako kwa kaburi
Waliogundua mapema saa hii ni rozari na zaburi
So please ka umenifeel for real subiri
Labda kuna mazuri:

Chorus;
Shawty najua umefall nami
Text kibao ngware hadi jioni
Kuconfess vile wanitamani
Eti life bila G hauoni x2

We ni msupa for sure
Naeza kupeleka show
Just to show you off
Najua hujanipenda for doo
Eti out kila saa na credo
Mtoto mzuri hata Nonini atatestify
Hiyo smile, hizo eyes
Mtoto shy
Mwili moja wazimu
Sauti tamu kwa simu
Pia umechop
From ya Gucci shoes to ya Gucci top
Kila kitu kinasema class
In my heart kwa kweli umepata gate pass
But naogopa kukutumia vibaya
Kama mwanafunzi na kaya
Kisha nikudump kama rubbish kando ya streets
Ah ah, kabla unipe yo first kiss
Pliz consider this:

Sijui ulitoa wapi namba yangu ya simu
Kunipigia saa sita usiku
Niko like 'Nani huyu? Nkt, wazimu'
Siku ya pili friend request FB
Twitter ushafollow me
Siku ya tatu tuko club
Uko na mahangre za kunishow love
Kuniangalia ndani ya macho
Ooops! Kumbe mtoto ni vajo
Muda kidogo manzi yangu akatokea
Haukushtuka, ulimgotea na kudisappear
Still the following day
Ulininvite kwa bash yako
Kudance the night away
Ulisema penzi lako si vako
Naskia kuchanganyikiwa wewe
Kama kawaida ningekuwa nishapita na wewe
But kuna kitu rohoni beiby
Sijui ni nini but sina haraka na wewe
Sina haraka na wewe

Baby girl take it slow
Wengi wamekam wamego
Sitaki kukuvunja roho
Kama wanipenda basi chill kidogoLyrics taken from http://www.lyricsmode.com/lyrics/w/wudz/shawty.html

 • Email
 • Correct

songmeanings

   Write about your feelings and thoughts

   Know what this song is about? Does it mean anything special hidden between the lines to you? Share your meaning with community, make it interesting and valuable. Make sure you've read our simple tips.
   U
   Min 50 words
   Not bad
   Good
   Awesome!
   This page is missing some information about the song. Please expand it to include this information. You can help by uploading artist's image, adding song structure elements, writing song meaning or creating lyrics explanation.

   Featuredlyrics

   Explain

   [an error occurred while processing the directive]